Serikali imeagiza Halmashauri zote nchini kutokuchua ardhi ya mtu bila ya kulipa fidia wakati wa kutwaa maeneo kwa ajili ya mpango wa matumizi mbalimbali.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amekutana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke alipotembelea katika ofisi za Wizara hiyo.
UTAPELI UNAOFANYWA KWA KUTUMIA NYARAKA ZA KUGHUSHI ZA BARUA ZA TOLEO ZINAZODAIWA KUTOLEWA NA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Mkutano wa tatu wa umoja wa Mataifa wa Makazi na Maendeleo Endelevu ya Miji umeanza tarehe 17 Oktoba 2016,katika Ukumbi wa Casa de la Cultura Equatoriana Mjini Quito,Mji mkuu wa Ecuador
Minister of Lands, Housing and Human Settlements Development, Hon. William Lukuvi in his visit to Morogoro has continued to implement the program to formalize arbitrary citizens housing 116, which has distributed 60 title deeds.
Waziri wa Maendeleo ya Miji na Vijiji wa Namibia; Sophia Shaningwa amefika nchini na ujumbe wa Wataalamu wake kwa ajili ya kujifunza taratibu za Utawala wa Ardhi wa Tanzania.
© 2021 All Rights Reserved.
Site Map
Staff Mail
Designed and Developed bylbl_ega_nam (e-GA) and Contents Managed by Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development