Kurasa

Muundo wa Wizara

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaongozwa na Waziri na Naibu wake. Kuna Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu.