Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; William Lukuvi (Mb) ametangaza rasmi mwisho wa kutumia Makampuni ya nje katika kazi za kuandaa Master plan
Wamiliki wa Hoteli ya kitalii ya Golden Tulip iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam wamekubaliana na uamuzi wa Serikali wa kukifuta rasmi Kiwanja namba 2048 ambacho awali walikimiliki
Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani Bw. Justo Lyamuya akizungumza na waandishi wa habari juu ya taratibu za upimaji ardhi nchini. Kushoto ni Katibu wa Baraza la Upimaji na Uthamini wa Wizara hiyo Bw. Nassor Duduma.