Vyombo vya Habari
TANGAZO KUUZA VIWANJA ARUSHA
- 05 Aug, 2026
- Pakua
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inautangazia umma kuwa, inauza viwanja katika barabara ya Afrika Mashariki (East Africa bypass) eneo la MalaluaMlangalini Halmashauri ya Wilaya ya Arusha.