Vyombo vya Habari

TAARIFA KWA UMMA

Kumekuwepo na taarifa ambazo zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuvunjwa kwa nyumba iliyokuwa imejengwa kwenye Kiwanja Na. 318 Kitalu ‘J’ Mbezi, Manispaa ya Kinondoni. Taarifa zinaeleza aliyetekeleza zoezi la kuvunja anatajwa kuwa ni Bi. Jacqueline Noni.