Taarifa Muhimu
UFAFANUZI WA NOTISI ZILIZOTOLEWA KWA VIJIJI VYA OLOLOSOKWAN, SOITSAMBU, ENGUSEROSAMBU, ARASH NA LOSOITO
- 13 Jul, 2026
- Pakua
Wizara inapenda kutoa ufafanuzi kutokana na taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu notisi zilizotolewa tarehe 4 Juni,2026 na Ofisi ya Msajili wa Hati Mkoa wa Arusha kwa Vijiji vya Ololosokwan, Soitsambu, Enguserosambu, Arash na Losoito vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha.