Taarifa Muhimu

TANGAZO LA UUZAJI VIWANJA ENEO LA KITELELA JIJINI DODOMA

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi anautangazia umma kuwa zoezi la upangaji, upimaji na uwekaji wa miundombinu ya barabara katika eneo la Mradi wa Viwanja Kitelela mkoani Dodoma limekamilika.