Taarifa Muhimu
TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI WA MADALALI NA WASAMBAZA NYARAKA WA MABARAZA YA ARDHI YA WILAYA
- 16 Feb, 2026
- Pakua
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inapenda kuwataarifu Waombaji nafasi za Udalali na Usambaza Nyaraka wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kuwa usaili uliotarajiwa kuendeshwa tarehe 18-02/2026 hadi 19/02/2026 umesogezwa mbele.
Hivyo, kwa tangazo hili napenda kuwajulisha kuwa usaili utafanyika tarehe 25/02/2026 hadi 26/02/2026. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.