Taarifa Muhimu

TANGAZO LA KUKARIBISHA MAONI YA WANANCHI KUHUSU SIFA NA UADILIFU WA WAOMBAJI WANAOOMBA KUHUISHA VYETI VYA UDALALI NA USAMBAZAJI NYARAKA WA MABARAZA YA ARDHI NA NYUMBA YA WILAYA

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na majukumu mengine, inalo jukumu la kusimamia kiutawala Utendaji kazi wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya. Mabaraza yana mamlaka ya kusikiliza na kuamua Mashauri ya Ardhi, kwa mujibu wa Kifungu cha 33 cha Sheria ya Mahakama za Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Sura ya 216.