Taarifa Muhimu

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inapenda kuwataarifu waombaji nafasi za Udalali na Usambaza Nyaraka wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 18-02-2026 hadi 20-02-2026. Waombaji watakaofaulu usaili huo watapatiwa Leseni.