Taarifa Muhimu
TANGAZO LA AJIRA YA MUDA - MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU
- 13 Sep, 2024
- Pakua
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawatangazia Watanzania wote kuwa inazo nafasi za kazi ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la III (Record Management Assistant III) nafasi nne (4), katika masharti ya ajira ya muda mfupi (Temporary Employment) katika Ofisi za Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya ya Kinondoni, Ilala, Lushoto na Arusha.