Taarifa Muhimu

TANGAZO LA AJIRA YA MUDA - KATIBU MAHSUSI

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawatangazia Watanzania wote kuwa inazo nafasi ya Katibu Mahsusi Daraja la III (Personal Secretary III) nafasi themanini na saba (87), katika masharti ya ajira ya muda mfupi (Temporary Employment) katika Ofisi za Baraza ya Ardhi na Nyumba katika Wilaya zifuatazo; Arumeru, Babati, Bagamoyo, Bahi, Bariadi, Bukoba, Bunda, Busega, Chato, Chemba, Dodoma, Gairo, Ifakara, Kahama, Karagwe, Karatu, Kasulu, Kibaha, Kibiti, Kibondo, Hai,  Hanang’, Igunga, Ikungi, Ilala,  Kalambo, Kigoma, Kilindi, Kilosa, Kilwa, Kisarawe, Kishapu, Kiteto, Kongwa, Kyela, Kyerwa, Lindi, Liwale, Ludewa, Makete, Malinyi, Masasi, Maswa, Mbarali, Mbeya, Mbinga, Mbogwe, Mbulu, Meatu, Mkalama, Mkuranga, Mlele, Monduli, Morogoro, Mpanda, Mpwapwa, Mtwara, Mufindi, Muheza, Muleba, Mwanga, Mwanza, Nachingwea, Ngara, Ngorongoro, Njombe, Nkasi, Rombo, Ruangwa, Rufiji, Same, Sengerema, Serengeti, Shinyanga, Simanjiro, Songea, Mbozi, Tabora, Tandahimba, Tanganyika, Tarime, Tunduru, Ubungo, Ukerewe, Ulanga, Urambo na Wanging'ombe.