Taarifa Muhimu
TAARIFA KWA UMMA: KISIWA CHA LUPITA KILICHOPO KATIKA ZIWA TANGANYIKA, TANZANIA
- 31 Aug, 2026
- Pakua
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeona kupitia mitandao ya kijamii taarifa kuwa mwekezaji Bw. Tim Draper anakusudia kuuza ardhi katika kisiwa kilichopo Ziwa Tanganyika nchini Tanzania.