Taarifa Muhimu
NAFASI YA WWASAMBAZA NYARAKA WA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA
- 10 Nov, 2025
- Pakua
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inakaribisha maombi ya Wasambaza Nyaraka wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kwa Mikoa ya Iringa, Katavi, Kigoma, Kilimanjaro, Lindi, Manyara, Mtwara, Njombe, Rukwa, Ruvuma, Shinyanga, Simiyu, Singida na Tabora.