Taarifa Muhimu

NAFASI YA UDALALI WA BARAZA LA ARDHI NA NYUMBA LA WILAYA

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inakaribisha maombi ya Udalali wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kwa Mikoa ya Iringa, Katavi, Kigoma, Kilimanjaro, Lindi, Manyara, Mtwara, Njombe, Rukwa, Ruvuma, Shinyanga, Simiyu, Singida na Tabora. Waombaji wanatakiwa wawe na sifa zifuatazo.