Maswali

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Je, ni adhabu gani utapata endapo utachelewa kulipa pango la ardhi Tanzania?

Baada ya miezi sita (6) ya kipindi cha msamaha kodi ya ardhi italipwa kwa adhabu ya 1% kila mwezi.