MHE. WILLIAM VANGIMEMBE LUKUVI

WAZIRI

Neno la Ukaribisho | Wasifu

Maboresho Sera ya Ardhi

Suggestions Box
 1. Mipango miji na Vijiji

  Mipango miji na Vijiji

  Planning is a process of influencing, controlling or directing changes (or non change) in the use of Land and the allocation of land over time and space. Allocation in this case refers determining the site and size of Land for particular use; it has nothing to do with granting rights...
  Jinsi ya Kupata

 2. Upimaji na Ramani

  Upimaji na Ramani

  Upimaji na Ramani ni Idara katika Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi. Jukumu lake kubwa ni usimamizi wa upimaji ardhi na utayarishaji wa ramani na plani mbalimbali za nchi mijini na vijijini.
  Jinsi ya Kupata

 3. Utawala wa Ardhi

  Utawala wa Ardhi

  The Land Administration Division was introduced so as to offer services on land development related issues. The division comprised of three Sections and seven Zonal Land Administration Offices. The head of this division is the Commissioner for Land who is assisted by Assistant Commiss...
  Jinsi ya Kupata

 4. Mabaraza ya Ardhi na Nyumba

  Mabaraza ya Ardhi na Nyumba

  Vyombo vya kushughulikia Migororo ya Ardhi na Nyumba Sheria ya Ardhi Na.4 na Sheria ya Ardhi ya Vijiji Na.5 za mwaka 1999 zimetungwa ikiwa ni mojawapo ya mikakati ya kutekeleza Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995. Sheria hizi zinaainisha vyombo pekee vya kushughulikia mi...
  Jinsi ya Kupata

 5. Huduma za Maendeleo ya Nyumba

  Huduma za Maendeleo ya Nyumba

  Idara hii inaongozwa na Mkurugenzi akisaidiwa na wakurugenzi wasaidizi wawili ambao wanahusika na masuala ya: . Kitengo cha Maendeleo ya Nyumba . Kitengo cha Mikopo ya Nyumba
  Jinsi ya Kupata

 6. Uthamini

  Uthamini

  Uthamini ni utaratibu wa utaalam wa kukadiria na kushauri kuhusu thamani ya mali isiyohamishika (kama vile ardhi,majengo na mazao). Hivyo neno uthamini linatokana na neno thamani Thamani kwa ujumla wake inaweza kuelezeka kama bei inayolipwa kwa ajili ya kupata kitu. Lakini kwa lugha...
  Jinsi ya Kupata

 7. Usajili wa Hati

  Usajili wa Hati

  Ofisi ya Usajili wa Hati ipo katika kanda nane za usajili katika mikoa ya Dodoma, Mwanza, Moshi, Mtwara, Mbeya, Tabora, Dar es Salaam na Morogoro
  Jinsi ya Kupata

© 2020   Haki zote zimehifadhiwa. Ramani ya Tovuti     Barua Pepe    
Imesanifiwa na Kutengenezwa na Wakala ya Serikali Mtandao(eGA) na Inaendeshwa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi