Kurasa

Idara ya Makazi

Lengo

Kuhakikisha maendeleo ya makazi bora, ya kutosha na ya bei nafuu nchini.

Kazi

Kusimamia utekelezaji Sera za Nyumba, sheria na miongozo ya maendeleo ya makazi
Kuweka mikakati ya kuchochea ushiriki wa sekta binafsi katika utoaji wa huduma za makazi
Kutoa usaidizi kwa mashirika ya maendeleo ya makazi na mbinu za ubunifu za makazi ya gharama nafuu
Kusimamia shughuli za Shirika la Nyumba la Taifa na Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba na Ujenzi
Idara hii inaongozwa na Mkurugenzi akisaidiwa na wakurugenzi wasaidizi wawili ambao wanahusika na sehemu mbili za tarafa kama ifuatavyo:-:

Sehemu ya Maendeleo ya Makazi
Sehemu ya Fedha ya Nyumba