Taarifa Muhimu
TAARIFA KWA UMMA - KODI YA ARDHI
- 13 May, 2024
- Pakua
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inapenda kuwajulisha wananchi wote kuwa, kwa mujibu wa Fungu la 33 (1) la Sheria ya Ardhi (Sura ya 113), kila mmiliki wa ardhi amepewa sharti la kulipa Kodi ya Pango la Ardhi kwa kila mwaka.