Taarifa Muhimu
Mwongozo wa Kuomba Huduma Kupitia Mfumo wa e-Ardhi
- 12 Jun, 2025
 - Pakua
 
Hatua hizi ni maadalizi muhimu ili kumjengea mtumiaji uwezo wa kutumia Mfumo kwa ufanisi na kuomba huduma mbalimbali zinazotolewa na Wizara kupitia Mfumo wa e Ardhi. Karibu tujifunze pamoja.